MBEYA MBEYA MBEYA
Dear champions, Jumapili ya tar 24/05/2015 ni The big day, Baada ya Dar na Moshi, sasa ni zamu ya MBEYA kwa kushirikiana na viongozi wakubwa kwenye biashara ya mtandao tutazindua rasmi ile safari ya kwenda COSTA NAVARINO-GREECE, ungana nasi wewe na wageni wako. Muda ni saa 9:00alasiri katika ukumbi wa Sauti University (nkasa), Kadi zinapatikana katika ofisi za Forever Mbeya kwa sh. 5000/= See you in greece.
No comments:
Post a Comment